WATUMISHI WA BODI YA MAJI BONDE LA ZIWA VICTORIA WAMPOKEA MKURUGENZI MPYA,
WATUMISHI WA BODI YA MAJI BONDE LA ZIWA VICTORIA WAMPOKEA MKURUGENZI MPYA,
Imewekwa: 24 November, 2026
Watumishi wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria wamempokea rasmi Mkurugenzi mpya wa Bodi hiyo, Mhandisi Florence Mahay, aliyeteuliwa hivi karibuni na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb).
Mhandisi Mahay amewasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria jijini Mwanza leo, tarehe 23 Novemba 2026, kwa ajili ya kuanza rasmi kutekeleza majukumu yake ya uongozi wa Bodi hiyo, ambapo amepokelewa na Menejimenti pamoja na watumishi wa Bodi hiyo.