Malengo ya Bodi

Kazi za Bodi ya Maji Bonde la ziwa Victoria
Zipo shughuli/Kazi Tatu(3) kuu ;

1) Kufanya tathmini na ufuatiliaji wa Rasilimali Maji.

2) Ugawaji wa Rasilimali Maji kwa njia ya vibali.

3) Kulinda na kudhibiti uchafuzi wa vyanzo vya maji.

Privacy Policy | Terms | Copyright © 2018 Lake Victoria Basin Water Board Website Developed By LVBWB