Category: latest news english

National Maji Week Dodoma

“Hakuna atakayeachwa: Kuongeza kasi ya Upatikanaji wa Huduma ya maji safi na usafi wa mazingira kwa wote kutoka Dunia inayobadilika Kitabianchi” Hii ndio kauli mbiu ya maadhimisho ya wiki ya maji duniani, ambayo hapa nchini maadhimisho Kitaifa yamefanyika Jijini Dodoma. Maadhimisho haya yalifanyika katika ukumbi wa St. Gaspar Hotel, Dodoma na yalikuwa na mambo makubwa matatu 1. Kongamano la Kisayansi 2. Taarifa ya Mwaka ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) 3. Mapitio ya pamoja ya sekta ya maji Pamoja na shughuli hizo pia kulikuwa na maonesho kutoka kwa wadau mbalimbali wa Maji. Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria ni Miongoni mwa Taasisi za Serikali na Wizara ya Maji zilizoshiriki katika maonesho hayo, kongamano la Kisayansi pamoja […]

Privacy Policy | Terms | Copyright © 2018 Lake Victoria Basin Water Board Website Developed By LVBWB